[#TumiaVPN] Kozi Mbalimbali Za Bure

Mtumishi wako anakuketea orodha ya kozi mbalimbali ambazo zaweza kukuongezea ujuzi au hata kukubadilishia mwelekeo wa maisha

👉Security Fundamentals – With Whiteboard Animations

👉Remote Teaching: How To Record Lectures At Home

👉Public Relations: How To Be A Government/PIO Spokesperson

👉Front End Web Development For Beginners (A Practical Guide)

👉Learn File Management With Photoshop 2020

Nimalizie kwa taarifa kuwa kitabu cha #Shushushu kinapatikana tena.

Kadhalika kama ulishindwa kujiunga na Jarida La Ujasusi kwa sababu ya malipo kwa kadi, sasa waweza kulipa kwa namba hiyo hiyo ya kununulia kitabu cha #Shushushu (M-Pesa namba 0767632516 jina Khadija Katule)

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali