[#TumiaVPN] Kozi Mbalimbali Za Bure Za Teknohama.

“Bure” hajafariki bali ameadimika tu. Naam, vitu vizuri vya bure bado vipo ila yahitajika bidii kukutana navyo. Bahati nzuri, mtumishi wako ninajibidiisha kumtafuta “Bure” kwa niaba yako, na matokeo yake ni kama haya hapa chini: Kozi muhimu za BURE 😊
Introduction to Programming in Java
Principles of Computation with Python
Pia “msaada tutani.” Je unamfahamu mtu huyu pichani?

Kama wamfahamu naomba tuwasiliane HAPA
Ndimi mtumishi wako,
Evarist Chahali
TANGAZO
Wakaribishwa kujiunga na kozi hii