#TumiaVPN: Kozi Kadhaa Za Bure Mtandaoni Zinazoweza Kukubadilishia Maisha/Kipato

Kwanza nitumie fursa hii kukufahamisha kuhusu jarida jipya, Jarida La Ujasusi, ambalo lipo hewani tena leo. Jiunge nalo na uwajulishe ndugu, jamaa na marafiki hasa kwa vile takriban media zote Tanzania zimepigwa kufuli kuongelea mambo nyeti.


Baada ya taarifa hiyo, naomba kukupatia lundo la kozi mbalimbali zinazoweza kukubadilishia maisha yako/kipato chako. Kumbuka pia kuwarushia ndugu, jamaa na marafiki endapo wewe binafsi huhitaji.
Let's go!
Machine Learning & Python & Data Science -140 Hours HD Video
Python Bootcamp 2020 - Build 15 working Applications and Games
Learn Excel - from beginner to advance with Example
Python Programming Fundamentals
Understanding Databases using SQL - Basic
.Net Basic Course - Introduction to .Net with Programming
Ndimi mtumishi wako,
Evarist Chahali