Jasusi anawasilisha waraka husika kama alivyoupokea, hajaongeza wala kupunguza neno.
UKATILI WA MKURUGENZI WA WILAYA HALIMASHAURI WA
WILAYA KILWA - Hanan Mohamed Bafagih Aliyempiga kijana mpaka kumuondolea Nguvu za kiume.
Mambo kama ya Pauline Gekul yamejirudi huko Kilwa. Mateso kwa kijana Ahmed Selemani Kidagaa, amepigwa na usalama wa Taifa kwa Amri ya M…



