Teknolojia Inavyoweza Kukusaidia Kujua Ukweli wa "Kutekwa" Kwa Msaidizi Wa Membe

Tukio Hilo Ni "Changa La Macho"

Katika toleo la sita la kijarida cha #ChahaliNaTeknolojia - ambalo limetumwa kwa wanachama waBaruaYaChahali - mtumishi wako anaelezea kuhusu “changa la macho” la tukio la “kutekwa” kwa msaidizi wa Membe, kijana aitwaye Alan Kiluvya, na jinsi teknolojia inavyosaidia kuthibitisha kuwa tukio hilo ni maigizo.

Unaweza pia KUBONYEZA HAPA kusoma comments mbalimbali kuhusiana na video hiyo.

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali