Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Simulizi za Jasusi

TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi 😊[Sehemu ya Ishirini na Moja - "Heartbreak at Break Point"]

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Dec 15, 2024
∙ Paid
1
Share
Get more from Evarist Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Karibuni kwenye riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi baada ya ile ya kwanza ya “Mtandao” ambayo wengi wenu mmeipokea vizuri. Asanteni sana.

“Tekla - a love story” ni stori ya kutunga kama ilivyo hiyo ya kijasusi ya “Mtandao.” Kwa vile lengo la Jasusi ni kukuletea simulizi ambazo ukisoma utajisikia kama unaangalia filamu, ni rahisi kudhani kuwa yanayoongelewa ni matukio ya kweli.

Kabla ya kuingia sehemu hii ya ishirini ya riwaya hii ya kimahaba, ni vema ukijikumbusha sehemu zilizopita ambazo kwa pamoja zipo katika makala hii

TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi 😊[Sehemu ya Ishirini - "Umesahau Jinsi ya Kufumania?"]

TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi 😊[Sehemu ya Ishirini - "Umesahau Jinsi ya Kufumania?"]

Evarist Chahali
·
October 12, 2024
Read full story

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture