Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi ๐Ÿ˜Š[Sehemu ya Kumi na Nane- "Njoo Nikuliwaze"]
Simulizi za Jasusi

TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi ๐Ÿ˜Š[Sehemu ya Kumi na Nane- "Njoo Nikuliwaze"]

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Jul 20, 2024
โˆ™ Paid

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi ๐Ÿ˜Š[Sehemu ya Kumi na Nane- "Njoo Nikuliwaze"]
Share
Get more from Evarist Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Karibuni kwenye riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi baada ya ile ya kwanza ya โ€œMtandaoโ€ ambayo wengi wenu mmeipokea vizuri. Asanteni sana.

โ€œTekla - a love storyโ€ ni stori ya kutunga kama ilivyo hiyo ya kijasusi ya โ€œMtandao.โ€ Kwa vile lengo la Jasusi ni kukuletea simulizi ambazo ukisoma utajisikia kama unaangalia filamu, ni rahisi kudhani kuwa yanayoongelewa ni matukio ya kweli.

Kabla ya kuingia sehemu hii ya kumi na nane ya riwaya hii ya kimahaba, ni vema ukijikumbusha sehemu zilizopita ambazo kwa pamoja zipo katika makala hii

Simulizi za Jasusi

TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi ๐Ÿ˜Š[Sehemu ya Kumi na Saba- "Amka Mama Amka"]

Evarist Chahali
ยท
July 14, 2024
TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi ๐Ÿ˜Š[Sehemu ya Kumi na Saba- "Amka Mama Amka"]

Karibuni kwenye riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi baada ya ile ya kwanza ya โ€œMtandaoโ€ ambayo wengi wenu mmeipokea vizuri. Asanteni sana. โ€œTekla - a love storyโ€ ni stori ya kutunga kama ilivyo hiyo ya kijasusi ya โ€œMtandao.โ€ Kwa vile lengo la Jasusi ni kukuletea simulizi ambazo ukisoma utajisikia kama unaangalia filamu, ni rahisi kudhani kuwa yanayoongelewa ni matukio ya kweli.

Read full story

TANGAZO

Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana HAPA


Ilifanyika kazi ya ziada kumtoa James kaburini kwa sababu alitaka azikwe na mama yake. Kwa mara ya kwanza katika maisha yake, Alitamani kufa kwa sababu haikumwingia akilini kama angeweza kuishi bila mama yake kuwa hai.

Kilichomfanya aweze kutoka kaburuni humo ni kilio cha Tekla ambaye alikuwa akilia kwa sauti akidhani kuwa James nae amefariki.

โ€œMama katutoka, na wewe pia unanitoka Jamesโ€, alisema Tekla huku analia.

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
ยฉ 2025 Evarist Chahali
Privacy โˆ™ Terms โˆ™ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share