TCRA yafuta akaunti yake X/Twitter: je ni maandalizi ya kufungia mtandao huo wa kijamii?
Jana, Jasusi aligundua kwamba TCRA imefuta akaunti yake ya X/Twitter.
Japo hatua hiyo inaweza kuwa imetokana na sababu nyingine, ukweli kwamba imetokea katika kipindi hiki cha vuguvugu kubwa kuishinikiza serikali iifungie X/Twitter unweza kuyumkinisha kuwa hizi ni dalili za awali za mtandao huo wa kijamii kufungiwa.
Hata hivyo, wakati viongozi mbalimbali…