Tathmini ya mwaka mmoja wa urais wa Rais Samia Suluhu: mafanikio na changamoto
Katika kuadhimisha mwaka mmoja kamili wa urais wa Rais Samia Suluhu, jasusi amefanya tathmini ya kina kuangalia mafanikio na changamoto katika miezi hiyo 12, pamoja na “kubashiri” mustakabali wa uongozi wake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ili “kubashiri” mustakabali wa urais wake, tathmini inatoa majibu ya maswali kadhaa ikiwa ni pamoja na
Je utawala wa Rais Samia utafanikiwa kufika salama mwaka 2025 kwenye uchaguzi mkuu ujao?
Akifika hiyo 2025 atagombea urais?
Akigombea hiyo 2025 atashinda?