Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Tathmini ya kijasusi: "yanayosemwa" kuhusu mabadiliko madogo ya kabineti ya Mama Samia yana ukweli au uzushi tu?
Copy link
Facebook
Email
Notes
More

Tathmini ya kijasusi: "yanayosemwa" kuhusu mabadiliko madogo ya kabineti ya Mama Samia yana ukweli au uzushi tu?

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Feb 16, 2023
∙ Paid
2

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Tathmini ya kijasusi: "yanayosemwa" kuhusu mabadiliko madogo ya kabineti ya Mama Samia yana ukweli au uzushi tu?
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share
Samia Suluhu, Isidory Mpango, Kassim Majaliwa, Pindi Chana, Mohammed Mchengerwa, Said Yakub, Ikulu, Tanzania

Kwa kifupi

Nini? Mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri la Rais Samia Suluhu.

Lini? Juzi Februari 14, 2023

Nani? Mohammed Mchengerwa, Pindi Chana, Hassan Abbas Said, Profesa Eliyamani Sedoyeka, Said Othman Yakub

Samia Suluhu, Isidory Mpango, Kassim Majaliwa, Pindi Chana, Mohammed Mchengerwa, Said Yakub, Ikulu, Tanzania
Samia Suluhu, Isidory Mpango, Kassim Majaliwa, Pindi Chana, Mohammed Mchengerwa, Said Yakub, Ikulu, Tanzania

Wapi? Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Kwanini? Hakuna maelezo rasmi yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu aliyeamua kufanya mabadiliko hayo, na kimsingi halazimiki kutolea maelezo kuhusu mabadiliko hayo au mengineyo.

Kivipi? Hapana inahusu taarifa hizo zimepokelewaje. Kwa Watanzania wengi, mabadiliko hayo ni kama mengine tu. Hata hivyo, kuna “vijimaneno” vimesambaa kuhusu baadhi ya wateuliwa, huko wawili kati yao wakitajwa kuwa ni “wakwe” wa Rais, na katika “vijimaneno” hivyo, inatafsiriwa kama mabadiliko hayo ni ya “kimaslahi binafsi” zaidi. Vilevile, kuna tuhuma za wanyamapori kutoroshwa kupelekwa Uarabuni, ambazo licha ya serikali kuzikanusha, zimeendelea kuvuma huku video kadhaa za “madege makubwa yanayotua mbugani” zikiwekwa kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa kirefu (na tathmini ya kiintelijensia)

Kuna masuala makuu sita yanayohusiana na mabadiliko hayo.

  1. Waziri Pindi kutoka “wizara muhimu” kupelekwa “wizara sio muhimu sana”.

  2. Kuhamishwa tena Waziri Mchengerwa, hii ikiwa ni wizara yake ya tatu katika mwaka mmoja na miezi 11 ya urais wa Rais Samia

  3. Kuondolewa Profesa Madokeya

  4. Katibu Mkuu Abbas kutoka “wizara si muhimu sana” kupelekwa “wizara muhimu” sambamba na uhusika wake kwenye Royal Tour.

  5. Tuhuma za usafirishwaji wanyamapori

  6. Kupanda kwa Katibu Mkuu Yakub

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More