Tathmini ya kijasusi: uteuzi wa Jenerali Nyamvumba kuwa Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania
Rais Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mkuu wa zamani wa majeshi ya nchi hiyo, Jenerali Nyamvumba kuwa balozi mteule wa Rwanda nchini Tanzania.
Uteuzi huo utategemea endapo serikali ya Tanzania itakubali, kwa mujibu wa kanuni za kidiplomasia.
Pamoja na masuala mengine, tathmini hii ya kijasusi inaeleza
Kwanini Jenerali Nyamvumba ameteuliwa kushika wadhifa huo.
Kwanini Mkuu huyo wa zamani wa majeshi ya nchi hiyo amepangiwa Tanzania.
Je serikali ya Tanzania itakubali kumpokea
Picha pana zaidi ya uteuzi huo kuhusiana na yanayojiri katika Ukanda wa Maziwa Makuu.