Tathmini hii ya kiintelijensia inaangalia masuala matatu muhimu
Malumbano makali yanayoendelea kuhusu suala la Muungano
Tuhuma kwamba kuna fedha zimemwagwa Chadema ili kuhujumu chaguzi cha ndani za chama hicho
Tetesi za kuaminika kuhusu nia ovu dhidi ya usalama wa Mheshimiwa Lissu