Tathmini ya kiintelijensia kuhusu Dkt Nchimbi kuteuliwa Katibu Mkuu CCM, je 'atapikika chungu kimoja' na Bashite?
Hatimaye Dkt Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Kwamba angeweza kuteuliwa kushika wadhifa huo sio jambo la kushangaza kwani jina lake lilikuwa likitajwa mara kwa mara.
Tathmini hii ya kiintelijensia inaangalia, pamoja na mambo mengine, swali ambalo huenda watu wengi wanajiuliza - je “atapikika chungu kimoja” na Bashite?