Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Tathmini ya kiintelijensia kuhusu fursa na changamoto kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro [Sehemu ya Kwanza: Fursa]
Copy link
Facebook
Email
Notes
More

Tathmini ya kiintelijensia kuhusu fursa na changamoto kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro [Sehemu ya Kwanza: Fursa]

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Jan 06, 2023
∙ Paid
2

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Tathmini ya kiintelijensia kuhusu fursa na changamoto kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro [Sehemu ya Kwanza: Fursa]
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
1
Share

Juzi, Januari 3, Rais Samia Suluhu alimteua Said Masoro kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Masoro aliteuliwa kushika nafasi hiyo nyeti kabisa kufuatia mtangulizi wake, Diwani Athumani, kuondolewa na kupewa nafasi ya Ukatibu Mkuu Ikulu.

Hata hivyo Diwani amekataa nafasi hiyo.

Barua Ya Chahali
Rais Samia ateungua uteuzi wa Diwani Athumani kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Kisa? Taarifa hii ya kijasusi inaeleza kwa undani
Rais Samia Suluhu ametengua uteuzi wa Diwani Athumani Msuya kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu. Utenguzi huo unakuja siku mbili tu baada ya Rais Samia kumuondoa Diwani katika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, ambapo badala yake ameteuliwa veterani wa taasisi hiyo, Said Masoro…
Read more
2 years ago · 1 like · Evarist Chahali

Masoro ni veterani wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Ameshika nyadhifa kadhaa ikiwa ni pamoja na kuwa mwambata ubalozini na nafasi yake kabla ya kupewa Ukurugenzi Mkuu alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu (Deputy Director General of Intelligence Service kwa kifupi DDGIS) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Operesheni za Ndani (Director of Internal Operations kwa kifupi DOI).

Makala hii ni sehemu ya kwanza ya tathmini ya kiintelijensia kuhusu fursa na changamoto kwa Masoro katika wadhifa wake huyo mpya wa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, taasisi ambayo ndiyo roho ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika sehemu hii ya kwanza, zinaangaliwa fursa pekee. Sehemu ya pili itakayochapishwa kesho itahusu changamoto

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More