Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Tathmini ya kiintelijensia: kuachiwa kwa Dkt Slaa na wenzake, na "kuyeyuka" kwa tuhuma za uhaini
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Simulizi za Jasusi

Tathmini ya kiintelijensia: kuachiwa kwa Dkt Slaa na wenzake, na "kuyeyuka" kwa tuhuma za uhaini

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Aug 19, 2023
∙ Paid
1

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Tathmini ya kiintelijensia: kuachiwa kwa Dkt Slaa na wenzake, na "kuyeyuka" kwa tuhuma za uhaini
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share

Kabla ya kuingia kwenye tathmini hii, angalia video ya Jasusi kwenye makala hii iliyochapishwa jana ambayo inaweza kukupa mwangaza kuhusu kwanini Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuachana na tuhuma za uhaini dhidi ya Dkt Willibrord Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyangali , na hatimaye kuwezesha jeshi la polisi kuwaachia huru watuhumiwa hao kwa dhamana.

Simulizi za Jasusi

Tathmini ya kiintelijensia: mustakabali wa 'tuhuma za uhaini' dhidi ya akina Dkt Slaa, uwezekano wa mabadiliko baraza la mawaziri/uongozi wa juu CCM [Audio/Video]

Evarist Chahali
·
August 18, 2023
Tathmini ya kiintelijensia: mustakabali wa 'tuhuma za uhaini' dhidi ya akina Dkt Slaa, uwezekano wa mabadiliko baraza la mawaziri/uongozi wa juu CCM [Audio/Video]

Tathmini hii ya kiintelijensia inahusu masuala mawili. La kwanza ni mustakabali wa “kesi” dhidi ya Dkt Willibrord Slaa, wakili Boniface Mwabukusi na mwanaharakati Mdude Nyangali. La pili ni uwezekano wa mabadiliko kwenye baraza la mawaziri la Rais Samia Suluhu na/au kwenye kada za juu za uongozi wa CCM

Read full story

Tathmini hii inatupia jicho sababu zilizopelekea kuyeyuka kwa tuhuma za uhaini na badala yake, Dkt Slaa na wenzake sasa wanatuhumiwa kwa uchochezi.

Taarifa za kiintelijensia zinaeleza kuwa tuhuma za uhaini dhidi ya Dokta Slaa, Mwabukusi na Mdude ni miongoni mwa yaliyojadiliwa katika kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika Alhamisi huko Dodoma

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More