Jana, Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango aliwatangazia Watanzania kwamba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amefariki dunia jijini Dar es Salaam.
Tanzia hii ya kiintelijensia hii inazungumzia matukio muhimu (kiintelijensia) kuhusu marehemu Lowassa ambaye alishika nyadhifa mbalimbali serikalini na kisiasa. Makala haitozungumzia wasifu mrefu wa marehemu…