Kabla ya kuingia kwenye mada ya leo, naomba kutumia fursa hii kumshukuru Mungu maana chupuchupu mtumishi wako ningekuwa marehemu muda huu. Nilikoswakoswa Ijumaa asubuhi na pia usiku wa juzi kuamkia jana. Kitu kimoja kuhusu mabalaa kama haya ni kwamba hata yakitokea mfululizo, hayazoeleki.