Taarifa ya kiintelijensia kuhusu mpango wa kundi la kigaidi la Jama'at Nusrat al-Islam wa al-Muslimeen kufanya kufanya mashambulio wakati wa michuano ya AFCON huku Ivory Coast
Ripoti za kijasusi zimebainisha kuhusu mpango kundi la kigaidi la Jama'at Nusrat al-Islam wa al-Muslimeen (JNIM) kutekeleza mashambulizi wakati wa AFCON 2024 nchini Cote d'Ivoire.