Situation Report (SITREP): Hatimaye serikali yatangaza kifo cha Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi: yaliyojiri 'nyuma ya pazia'.
Jana, Rais Samia Suluhu alilitangazia taifa kuwa Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia katika hospitali ya Idara ya Usalama wa Taifa ya Mzena, jijini Dar es Salaam.