Si Sawia Kwa Magufuli Kujificha Chato Huku Nchi Inakabiliwa Na Janga La #Coronavirus
Huenda kuna watakaosema wakati huu ambapo nchi na dunia ipo kwenye kipindi kigumu kutokana na janga la krona, si muda mwafaka wa kutupiana lawama. Lakini vipi kama lawama hizo zinaweza kusaidia kuleta mabadiliko chanya katika jitihada za kukabiliana na janga hilo?
Kuna mfululizo wa matukio yanayoashiria bayana kuwa Rais Magufuli ana mapungufu ya kiuongoz…