Serikali yatuhumiwa kutunga muswada wa kuwezesha makataba wa bandari usibanwe na sheria za kulinda raslimali za Tanzania.
Huku ikiendelea kushutumiwa kuwa “imeuza nchi” kufuatia mkataba kati yake na Dubai kuhuu uendeshaji wa bandari, serikali imejikuta kwenye lawama mpya ikituhumiwa kutunga muswada wa sheria wa kuwezesha mkataba huo wa bandari usibanwe na sheria za kulinda raslimali za Tanzania.