Mojawapo ya matukio maarufu ya biashara mwaka huu ni sarafu za kutumiwa mtandaoni au cryptocurrency, ambayo ni sarafu ya kidijitali inayoweza kutumika kununua bidhaa na huduma.
Hata hivyo katika nchi nyingi za Afrika, mengi hayajulikani kuhusu sarafu za kidijitali. Lakini cryptocurrency ni nini na inafanyaje kazi?
Tuanze na sarafu za kawaida ambazo tumezo…