Safu Ya TEKNOLOJIA: #Flashback: umuhimu wa kubloku watu kwenye mitandao ya kijamii (inapobidi)
#Flashback Julai 17, 2019
Usalama Wako Mtandaoni: Umuhimu Wa Kubloku Watu Kwenye Mitandao Ya Kijamii (Inapobidi)
Mie mtumishi wako ninatuhumiwa kuwa Mtanzania ninayeongoza kwa kubloku watu huko Twitter. Na sina tatizo na "cheo" hicho kwa sababu wengi wa hao wanaonituhumu hawajawahi kujihangaisha kufahamu kwanini ninawabloku watu wengi.
Na ninaomba kutumia …