Fahamu kuhusu INFORMATION WARFARE
Makala hii ilichapishwa mara ya kwanza 14.08.2019 wakati Tanzania inapitia kipindi kigumu kabisa, hususan kwenye mitandao ya kijamii ambako ilikuwa kosa la jinai kuongea chochote kisichowapendeza watawala. Jasusi a.k.a Mtumishi Wako alikuwa miongoni mwa wahanga wakubwa wa ukandamizwaji huo, lakini anadiriki kusimama kifu…