#Flashback: Mada hii ilichapishwa na Jasusi kwa mara ya kwanza Oktoba 26, 2019
…mada ya wiki hii inahusu vivinjari. Kama Kiswahili sanifu kinakupiga chenga, kivinjari ni BROWSER. Vivinjari ni wingi (plural) ya kivinjari.
Sijui kama nilishawahi kuwasimulia kwamba nilijifunza kutumia kompyuta mwaka 2002 baada ya kuja huku Uingereza. Pale Mlimani (UDSM) kul…