Soka la wanawake limepata mwamko mkubwa katika miaka ya hivi karibuni na majuzi tu, dunia imeshuhudia michuano ya kombe la dunia la soka la wanawake, ambayo iligusa hisia za watu wengi duniani.
Na Tanzania haipo nyuma katika soka la wanawake hasa kutokana na miamba miwili ya soka nchini humo, Simba na Yanga, zote kuwa na timu za wanawake, Simba Queens na…



