Safu ya MAISHA Episode 16: Kutana na Azizi Chamani, Mtanzania anayeleta mapinduzi makubwa ya teknolojia ya 'Blockchain' nchini Tanzania na kimataifa
Katika safu ya MAISHA wiki hii, kuna wasifu wa Ndugu Azizi Chamani ambaye anafanya mapinduzi makubwa kwa kuisogeza karibu teknolojia ya blockachain nchini Tanzania na kuiunganisha nchi yetu kimataifa.
Wasifu wa Ndugu Chamani upo katika mfumo wa audio, yaani ni maelezo yake mwenyewe.
Clip 1: Historia yake