Safu ya #MAISHA [Episode 15]: Kutana na Noel George Nchimbi, licha ya kusomea fani mbalimbali, kiu ya kujiajiri ilimpelekea kuanzisha 'Shekinah Nail Salon' iliyopo Makumbusho, Dar
Tofauti na episodes zilizopita ambazo takriban zote zimeeleza mafanikio ya watu mbalimbali, episode hii inaonyesha jinsi changamoto za maisha zinavyoweza kuhamasisha kutafuta ufumbuzi mbalimbali.
Japo maelezo katika episode hii ni mafupi, fundisho lililomo ni kubwa na bila shaka litatoa hamasa kwa watu wengi wanaokabiliwa na changamoto kama zilizomkabili…