Safu ya #MAISHA [Episode 12]: Mfahamu Himid Mao (@HimidMao), mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Misri, ni mtoto wa lejendari wa soka Mao Mkami a.k.a Ball Dancer.
Safu ya MAISHA ipo tofauti kidogo wiki hii. Badala ya maelezo ya maandishi, episode hii kuhusu mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa nchi Misri, Himid Mao, inatokana na mahojiano ambayo mwandishi alifanya na mwanasoka huyo Juni mwaka juzi.
Kwanza kunradhi kutokana na kuchanganya majina ambapo tangu mwanzo wa mahojiano, maswali yam…