Yayumkinika kuamini kuwa hakuna Mtanzania ambaye hajawahi kusikia jina la Mheshimiwa Nape Nnauye, mwasiasa ambaye sio tu ana historia ndefu ya uongozi ndani ya chama tawala CCM na utumishi wa umma, bali pia ni mmoja wa wanasiasa wabobezi na ambaye amekuwa na mchango mkubwa kwa ushindi wa wagombea urais kupitia tiketi ya CCM.
Substack is the home for great culture



