Safu ya #MAISHA [Episode 10]: Mfahamu Gilead Teri (@GileadTeri), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), mmoja wa Watanzania wachapakazi kupindukia.
Bila shaka utakuwa umeshasikia jina la Gilead Teri. Na kama hujawahi kusikia jina hilo, fanya ku-Google na bila shaka utabaini kuwa ni miongoni mwa wachapakazi hodari katika Tanzania yetu.
Teri, kama anavyopendelea kuitwa, ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), wadhifa aliokabidhiwa na Rais Samia Suluhu alipomteua Februari 3 mwaka …