Safu ya Habari Za Zanzibar: Sakata la kujiuzulu Waziri Simai na ndoto za Dkt Mwinyi kusaka urais wa Muungano 2025
Wiki iliyopita, aliyekuwa Waziri wa Utalii Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Simai Mohamed Said, alitangaza kujiuzulu wadhifa huo.
Kupitia video iliyosambaa mitandaoni, Simai alisema amejiuzulu kutokana na alichodai mazingira yasiyo rafiki ya kazi.