Safu ya Habari za Zanzibar: Mfanano wa kiungozi baina ya utawala wa marehemu Mzee Ruksa na utawala wa mwanae Dkt Hussein Mwinyi
Miaka kadhaa huko nyuma, Jasusi alifiwa na mama yake. Na moja ya mambo ambayo anayakumbuka sana kuhusu msiba huo ni pale mtu mmoja ambaye alichangia kifo cha marehemu kwa namna mbalimbali, alipojifanya ndiye mwenye uchungu mkubwa kuliko hata wafiwa wengine.
Na Jasusi anakumbuka vema alivyotamani kwamba angekuwa na bastola wakati mtu huyo anaweka mchanga …