Waziri wa fedha wa Uganda Haruna Kasolo ametoa wito kwa serikali kupitisha sheria ambayo chini yake Waganda wavivu "watapigwa ili wajifunze jinsi ya kufanya kazi na kuwa matajiri."
"Rais Museveni na serikali [inayotawala] ya NRM wameweka mipango ya kutokomeza umaskini kama Emyooga, Parish Development Model (PDM), Bonna baggaggawale na wengineo kwa nia ya…


