Sean Combs, mtayarishaji na nguli wa muziki ambaye amekuwa mmoja wa majina maarufu zaidi katika hip-hop kwa miongo kadhaa, ameshtakiwa mahakamani jana na Cassie, mpenzi wake wa zamani na mwimbaji wa R&B aliyewahi kusainiwa na lebo ya Bad Boy inayomilikiwa na Diddy.
Cassie ameshtaki Diddy kwa ubakaji , na kunyanyaswa kimwili mara kwa mara kwa takriban muo…



