Mashindano mapya ya klabu bingwa barani Afrika, Ligi ya Soka ya Afrika (AFL), yanaanza leo Ijumaa wakati mchezo wa ufunguzi utakapofanyika nchini Tanzania.
Kabla ya jaribio kali zaidi la kufanya vilabu vya Afrika kuwa na ushindani duniani kote, makala hii inaji…


