Safu ya AFYA: Ugonjwa bawasiri (haemorrhoids) - vyanzo, dalili, matibabu na jinsi ya kujikinga
Bawasiri ni moja ya magonjwa ya kawaida. Kubadilisha tabia ya chakula na mtindo wa maisha ndio sababu kuu za ugonjwa huu. Kulingana na tovuti rasmi ya Maktaba ya Kitaifa ya Tiba, asilimia 50 ya wakazi wa India kwa mfano wanaugua bawasiri wakati fulani maishani mwao, na asilimia 5 kati yao huathirika kabisa.
BBC Tamil iliwasiliana na mtaalamu wa Bawasiri …