Muktasari:
Inawezekana kuwa kwa wakati tofauti tatizo hilo limekupata wewe. Usiogope linaondoka haraka kwa kutumia vyakula, vinywaji rahisi
Waswahili wanao usemi maarufu kuwa, raha ya nyumba ni choo.Kwa hakika, hawakukosea kwani chakula chochote kinapoliwa lazima kitumike mwilini na mabaki yake kutolewa kwa njia ya haja kubwa.
Hata hivyo, binadamu wa jins…