Safu ya AFYA: Fahamu kuhusu ugonjwa wa KISUKARI, aina mbili za ugonjwa huo, dalili, athari na jinsi ya kuishi na Kisukari
Ugonjwa wa kisukari ni hali ambayo inatokea wakati sukari katika damu inakuwa nyingi kupita kiwango cha kawaida kwa muda mrefu. Ili mwili uweze kutumia sukari iliyotoka kwenye vyakula huhitaji kichocheo cha insulini. Insulin husaidia sukari kuingia kwenye chembechembe hai ili kutengeneza nishati-lishe.Aina za kisukari Kuna aina mbili kuu za kisukari amb…