Kipandauso (migraine) huweza kusababisha kichwa kugonga kikiambatana na maumivu makali. Mara nyingi ikiwa ni upande mmoja wa kichwa. Mara nyingi kipandauso huambatana na kichefuchefu, kutapika, ganzi, na hali ya juu ya kutopenda mwanga au sauti. Kipandauso hudumu kwa saa kadhaa au siku kadhaa, na maumivu huweza kuwa makali hivi kwamba ukashindwa kuendel…
© 2025 Evarist Chahali
Substack is the home for great culture



