Safu mpya ya "Habari Za Zanzibar": kukithiri kwa ufisadi visiwani humo chini ya utawala wa Dkt Mwinyi
Hii ni safu mpya itakayowajia mara kwa mara ikiwa na habari na uchambuzi kuhusu Zanzibar. Makala hii ya kwanza inazungumzia changamoto kwa urais wa Dokta Hussein Mwinyi
Hatua ya mwekezaji Mwingereza kuishtaki Zanzibar kutokana na uamuzi wa serikali ya Dkt Mwinyi kuvunja mkataba wa kukodi ardhi inaweza kuwa na athari kwa mwanasiasa huyo 2025.
Kampuni ya …