Safu mpya ya #DunianiKunaMambo: Babu huyu mwenye miaka 71 amekuwa 'singo' kwa miaka 55, kisa anaogopa mno wanawake kutokana na maradhi ya 'Gynophobia' (kuogopa wanawake)
Wengi wetu tunaogopa mambo mengi kama wanyama, maji, moto au hata vyumba vya giza. Mzee wa miaka 71 anachukua vichwa vya habari kwa kuripotiwa kuwa na hofu kubwa dhidi ya wanawake.
Kwa miaka 55 iliyopita, amejizuia ndani ya nyumba yake kwa sababu hii. Akiwa na umri wa miaka 16, Callitxe Nzamwita - kutoka Rwanda - alijifungia nyumbani kwake kuepuka kampu…