Safu mpya ya BURUDANI na MICHEZO: "Diddy alilipa dola milioni moja ili Tupac auawe" - asema Keefe D aliyekamatwa na kushtakiwa kwa mauaji hayo
Karibuni katika safu mpya ya burudani na michezo inayotarajiwa kuwajia mara kadhaa kwa wiki pindi zitakapopatikana habari ambazo mwandishi anaamini zina umuhimu kwenu.