Rwanda: Rais Kagame ateua Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa ya nchi hiyo NISS, ni Mwendesha Mashtaka Mkuu Aimable Havugiyaremye, anayechukua nafasi ya Meja Jenerali Joseph Nzabamwita
www.baruayachahali.com
Rwanda: Rais Kagame ateua Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa ya nchi hiyo NISS, ni Mwendesha Mashtaka Mkuu Aimable Havugiyaremye, anayechukua nafasi ya Meja Jenerali Joseph Nzabamwita
Pia amteua Olivier Nduhungirehe kuwa Waziri mpya wa Mambo ya Nje, achukua nafasi ya Vincent Biruta anayekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani