Ripoti ya Uchunguzi Kuhusu Deusdedit Soka na Wenzake Ambapo Jana Ni Siku Ya 50 Tangu Watekwe: Wapo Hai au La?
Ripoti inajibu swali kuu: je Soka na Wenzake bado wapo hai au la?
Jana imetimia siku ya 50 tangu kada wa Chadema, Deusdedit Soka na wenzake wawili “watekwe”
Makala hii ya uchunguzi wa kiintelijensia ambayo awali ilichapishwa jana, inajibu swali kuu la msingi: je wapo hai au la?
TANGAZO
Hata hivyo, Jasusi alijipa jukumu la kufanya uchunguzi kuhusu suala la “akina Soka” kwa maslahi mapana ya Watanzania, na sio kwa ajili ya Chadema, ambao hawakuona umuhimu wa kuomba msaada, na wala Jasusi hategemei kuwa watafanya hivyo.