Ripoti ya kiintelijensia: tetesi kuwa Rais Samia alisafiri kwenda Uarabuni "kimyakimya" zina ukweli au majungu tu? Pia SITREP (Situation Report) ya mkataba wa bandari
Ripoti hii ya kiintelijensia inachambua masuala mawili. La kwanza ni tetesi zilizozagaa kwa zaidi ya wiki sasa zikidai kuwa Rais Samia Suluhu alisafiri “kimyakimya” kwenda Uarabuni.
Pili ni taarifa ya hali ilivyo (Situation Report - kwa kifupi SitRep) ya sakata la mkataba wa bandari.