Ripoti ya kiintelijensia: kinachodaiwa kuwa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo ni mazingaombwe yaliyotengenezwa ili kumngo'a mkuu wa TRA Kidata, Waziri mwandamizi anahusika
Jana zilisambaa taarifa kwamba wafanyabaishara wa soko la Kariakoo wataanza mgomo usio na kikomo kuanzia Jumatatu Juni 24.
Taarifa ya awali ilikuwa hii
Baadaye kukatolewa taarifa yenye maelezo ya kina zaidi