Ripoti ya CAG: aliyekopa benki 5 na kutoroka akamatwa kufuatia operesheni ya Idara ya Usalama wa Taifa na TAKUKURU, Rais Samia aamua kuziunganisha taasisi hizo mbili
Moja ya habari zilizogusa hisia za Watanzania wengi kufuatia ripoti ya CAG iliyosomwa majuzi na kabla ya kukabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu ni ile ya mfanyabiashara aliyekopa benki tano kwa kutumia dhamana feki kisha akatorokea nje ya nchi.