Barua Ya Chahali

Share this post

Rais Samia ateungua uteuzi wa Diwani Athumani kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Kisa? Taarifa hii ya kijasusi inaeleza kwa undani

www.baruayachahali.com

Rais Samia ateungua uteuzi wa Diwani Athumani kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Kisa? Taarifa hii ya kijasusi inaeleza kwa undani

Evarist Chahali
Jan 5
3
Share this post

Rais Samia ateungua uteuzi wa Diwani Athumani kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Kisa? Taarifa hii ya kijasusi inaeleza kwa undani

www.baruayachahali.com

Rais Samia Suluhu ametengua uteuzi wa Diwani Athumani Msuya kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu.

Utenguzi huo unakuja siku mbili tu baada ya Rais Samia kumuondoa Diwani katika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, ambapo badala yake ameteuliwa veterani wa taasisi hiyo, Said Masoro.

Barua Ya Chahali
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu kung'olewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Diwani Athumani, na kuteuliwa kwa Said Masoro kushika wadhifa huo nyeti
Jana Januari 3, 2023 Rais Samia Suluhu alimng’oa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya, na badala yake kumteua veterani wa Idara hiyo, Said Masoro, kushika wadhifa huo nyeti. Ikumbukwe tu kuwa Jasusi sio tu alibashiri mara kadhaa huko nyuma kuwa Diwani angeng’olewa…
Read more
a month ago · 2 likes · Evarist Chahali

Makala hii fupi inaeleza kwa kina kilichopelekea Diwani kutumbuliwa

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
Previous
Next
© 2023 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start WritingGet the app
Substack is the home for great writing