RAIA MWEMA's Exclusive: BASHITE Kortini

Habari njema mno. Only if dhamira za wahusika ni haki itendeke kwa maelfu ya wahanga wa Bashite.

Hisia zangu za kijasusi zina shaka kuwa hii episode ya Bashite inaweza kutumika kutuliza mzuka kuhusiana na kesi ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, ambayo kila kukicha inazidi kuonyesha kuwa ni ya kizushi. Si unajua tena Watanzania ni watu wa kuendeshwa na matukio?

Anyway, tuache muda uongee!

Tangazo: Kama Kiingereza kinapanda, jisajili HAPA kupokea kijarida ja UJASUSI kila siku.